IGP SIRRO смотреть последние обновления за сегодня на .
Mamakamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema muundo wa jeshi la polisi unapaswa ufumuliwe na sheria ya kuanzishwa kwake irekebishwe ililinde raia na haki zake
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
IGP SIRRO Alivyompa Makavu MAMBOSASA - ''HUO NI USHAMBA'' MKUU wa jeshi la polisi nchini, IGP Simon Sirro, amefanya mkutano na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya nchini wenye lengo la kupanga mikakati ya namna ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kuanza hivi karibuni pamoja na usalama wa raia na mali zake nchini. 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Watch More Videos here: 🤍 Website: 🤍globalpublishers.co.tz FaceBook: 🤍facebook.com/globalpublishers Instagram: 🤍instagram.com/globalpublishers Twitter: 🤍twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: 🤍 Install Global App
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Wiki moja tangu IGP Simon Sirro aapishwe na JPM kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, leo June 6, 2017 Mkuu huyo wa Jeshi la Polisi amefanya ziara yake ya kwanza Kibiti na Mkuranga kutimiza ahadi baada ya kuombwa na wazee wa maeneo hayo. Eneo hilo la Pwani ni miongoni mwa maeneo ambayo mauaji yameripotiwa.
IGP SIRRO AFANYA UKAGUZI WA GHAFLA KWENYE VITUO VYA POLISI DSM WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mkuu wa Jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amehitimisha mafunzo ya koziya uongozi mdogo cheo cha koplo wa polisi katika shule ya polisi Moshi. Katika kuhitimisha mafunzo hayo ameshuhudia uimara na uhodari wa askari hao kupitia mafunzo waliyopewa na kwamba wako imara katika kutekeleza majukumu yao ya kulinda raia na mali zao. MAKOMANDOO WA JESHI LA POLISI MBELE YA IGP SIRRO WAKIONESHA UWEZO WAO WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro ameendelea kukemea vitendo vya mauaji yanayotokana na kujichukulia sheria mkononi, mauaji ya wivu wa mapenzi na imani za kishirikina pamoja na matukio ya ubakaji yanayofanywa na baadhi ya watu kwenye jamii. IGP Sirro amesema hayo akiwa Katumba Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi wakati akizungumza na wananchi wa eneo hilo ambapo amewataka wazazi na walezi kuendelea kuimarisha malezi ya familia kwa kuwa na idadi ya watoto watakaoweza kuwatunza kwenye maadili.
Siku chache baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuzungumzia kuibuka kwa matukio ya ujambazi na kuonya kwamba Wasipime Kina cha Maji, Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro wanafatilia orodha ya muhalifu mmoja hadi mwingine. IGP Sirro ameyasema hayo alipokutana na Maafisa wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam ambapo amewapa mwezi mmoja kuhakikisha wanakomesha Vitendo vya Uhalifu.
Mkuu wa jeshi la polisi nchini IGP Simon Sirro amewataka askari wa jeshi hilo kuzingatia sheria na miiko waliyopatiwa mafunzoni ili kuepuka matumizi ya nguvu pasipofaa na vitendo vingine ambavyo ni kinyume. Aidha amewataka kwenda kutumia busara katika kufanya maamuzi yasiyoumiza wananchi ikiwa ni pamoja na kutoa elimu ya uelewa wa sheria ili jamii iwe na mwamko wa kuzitii. IGP SIRRO BILA CHENGA AWACHANA POLISI - "MSIWABAMBIKIZA WATU KESI" WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
BREAKING: IGP SIRRO AMPANDISHA CHEO ALIYETOA WAZO LA KITUO.. Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amempandisha cheo Christina Onyango kuwa mkaguzi msaidizi wa Polisi. Awali Christina alikuwa konstebo. Hivi karibuni Christina alitunukiwa shahada ya udaktari katika Chuo Kikuu cha Lead Impact kilichopo Marekani kutokana na utendaji wake. Askari huyo alitoa wazo la kuanzishwa kituo cha huduma ya pamoja kati ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam na taasisi nyingine za Serikali zinazojishughulisha na masuala ya kupinga ukatili wa kijinsia ambacho kipo katika Hospitali ya rufaa ya Amana manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam. Machi 11, 2020, IGP Sirro alimpongeza kwa barua na kumpandisha cheo kuwa mkaguzi msaidizi wa polisi na kumuelekeza Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa kumvalisha cheo kipya. Leo Alhamisi Machi 26, 2020, Kamanda Mambosasa amemvalisha cheo Christina na kumpongeza kwa kuliwakilisha jeshi hilo vizuri katika jamii. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) Email: globaltvbest🤍gmail.com abbymrisho🤍gmail.com HABARI MPYA DAILY: 🤍 HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 GLOBAL RADIO TV: 🤍 EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amewasimamisha Makamanda wa Polisi na kuwauliza maswali juu ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ndani ya Jeshi hilo.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
IGP SIRRO AFOKA - "WANAWAKE WAPO WENGI, UNAMUUA MTU KWANINI, MKICHOKANA ACHANENI VIZURI TU' Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro, ameendelea kukemea vitendo vya mauaji yanayotokana na kujichukulia sheria mkononi, wivu wa mapenzi na imani za kishirikina pamoja na matukio ya ubakaji yanayofanywa na baadhi ya watu nchini. IGP Sirro amesema hayo akiwa Katumba Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo,mkoani Katavi wakati akizungumza na wananchi wa eneo hilo ambapo amewataka wazazi na walezi kuendelea kuimarisha malezi ya familia kwa kuwa na idadi ya watoto watakaoweza kuwatunza kwenye maadili. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: 🤍 ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvonlinenews🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: 🤍 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaasa wanafunzi wa kozi ya awali ya askari Polisi kuendelea kuheshimu nafasi waliyopewa na serikali kuhudhuria mafunzo ya awali ikiwa ni sehemu ya ajira ya kulinda maisha ya watu na mali zao na hivyo kuitumia nafasi hiyo kwa kutokufanya mambo ya ovyo yatakayoharibu maisha yao ya baadae. IGP Sirro amesema hayo akiwa katika Shule ya Polisi Tanzania, Moshi mkoani Kilimanjaro ambapo amewataka wanafunzi hao kuzingatia mafunzo wanayoyapata na kuto kuchezea nafasi waliyoipata kwa kufanya vitendo vya utovu wa nidhamu na kupelekea kufukuzwa mafunzo hayo.
IGP SIRRO - ''LEO ni ASKARI, KESHO Sio ASKARI, ni MARUFUKU Kuwapiga FAINI HOVYO'' MKUU wa jeshi la polisi, IGP Simon Sirro, amewataka maereva wa bodaboda kufuata sheria za barabarani ili kuepusha ajali za barabarani ambazo zinaleta madhara makubwa ikiwemo vifo. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:🤍 ⚫️ iOS:🤍 ⚫️ VISIT AMAZON: 🤍 ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest🤍gmail.com OR abbymrisho🤍gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: 🤍 ⚫️ GLOBAL RADIO TV: 🤍 ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: 🤍 ⚫️ Subscribe Global TV 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Simon Sirro amefanya ziara ya kushtukiza katikaChuo cha Maafisa wa Polisi Kidatu kilichopo mkoani Morogoro na kukagua miundombinu ya chuo hicho, changamoto walizonazo na namna kinavyojiendesha..
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema amesema watawashirikisha viongozi wa Kidini kwa ajili ya kupitia mafunzo ya Dini wanayofundishwa watoto kuanzia Chekechea, Madrasa, Shule za Sekondari hadi Vyuoni ili Kudhibiti vichocheo vya Ugaidi. IGP Sirro ameyasema hayo leo katika uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Malawi ambapo amesema katika nchi hiyo kuna kikosi maalum cha kufuatilia maeneo hayo ya Elimu.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema takribani askari Polisi wanafunzi 156 wamefukuzwa mafunzo ya kijeshi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za utovu wa nidhamu na kufanya mambo ambayo hayakubaliki ndani ya shule ya Polisi.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
IGP SIMON SIRRO amewapongeza na kuwatia moyo mashujaa waliowezesha kuuawa kwa wahalifu 13 huko Kata ya Mchukwi, Wilaya ya Kibiti, Mkoa wa Kipolisi Rufiji.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewaagiza Makamanda wa Polisi nchi nzima kufanya operesheni ya mwezi mmoja ya kudhibiti makosa ya usalama barabarani ambayo kwa kipindi cha mwezi wa tatu mwaka huu yameonekeana kuongezeka. IGP amesema hayo jijini Dar es salaam wakati akizungumza kwenye kikao kazi na Makamanda wa Polisi wa mikoa ya Dar es salaam, Morogoro, Pwani, Rufiji ma RTOs na DTOs pamoja na Wakuu wa Operesheni kutoka kwenye mikoa hiyo.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: 🤍 || 🤍 TWITTER: 🤍 || 🤍 FACEBOOK: 🤍 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
IGP SIRRO "Kuna Dharau Sana/ Usipoangalia Utaabika" Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro, leo amefungua kambi ya wanamichezo wa polisi wanaojiandaa kushiriki Michezo ya Shirikisho la Majeshi ya Polisi Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (EAPCCO GAMES 2018) inayotarajiwa kuanza mwezi ujao hapa nchini. Kambi hiyo ambayo ina zaidi ya wanamichezo 200 ambao wanatarajiwa kushiriki michezo mbalimbali kwenye mashindano hayo ikiwemo soka, mpira wa mikono, volleyball, netiboli, ngumi, taekwondo, karate na kulenga shabaha, ipo katika Chuo cha Maafisa wa Magereza Ukonga, Dar. Akizungumza wakati wa ufunguzi huo uliofanyika katika chuo hicho, IGP Sirro amewataka wanamichezo hao kulinda heshima ya nchi kwa kufanya vizuri kwenye mashindano hayo. “Nawaomba mjiandae vizuri kuhakikisha mnaileta heshima nchi na jeshi la polisi kwa jumla. Inaeleweka kwamba kuna zaidi ya polisi elfu arobaini na tano, lakini ninyi ndiyo mmechaguliwa kutuwakilisha, hivyo kafanyeni kweli. “Hivi karibuni tu nilipoenda Uganda kwenye mkutano wa wakuu wa polisi, kila nchi ilikuwa inatamba itafanya kweli hivyo basi ili kudhihirisha sisi tupo vizuri, tunataka ushindi ubaki hapa nyumbani,” alisema IGP Sirro. Install GlobalPublishersApp Android: 🤍 iOS: 🤍 Subscribe 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 Visit 🤍 Subscribe 🤍 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… 🤍 🤍 🤍 WEBSITE: 🤍 FACEBOOK: 🤍 TWITTER: 🤍 INSTAGRAM: 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka viongozi wa dini pamoja na viongozi wa Kamati za Ulinzi na usalama za wilaya, tarafa, Vijiji na Vitongoji kuhakikisha wanatimiza wajibu wao katika suala zima la ulinzi na usalama kwenye maeneo yao. IGP Sirro amesema hayo leo alipofanya ziara ya Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani na kukutana na Viongozi wa Halmashauri tatu za Mkoa huo ikiwemo Mkuranga, Kibiti na Ikwiriri pamoja na viongozi wengine wa Kamati za Usalama kwa lengo la kuwakumbusha wajibu wao. Akizungumzia suala la usalama katika maeneo ya hayo IGP Sirro amesema kuwa, bado zipo changamoto chache kama wizi wa Pikipiki, mifugo na uhalifu mwingine mdogo mdogo ambao unaendelea kudhibitiwa.
#EATV Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amewaonya wananchi kuacha tabia ya wizi wa mifugo, ukatili kwa wanawake na watoto na kuacha kujihusisha na wizi wa kutumia silaha pamoja na kuacha tabia ya kuvamia migodi. IGP Sirro ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Kata ya Borenga iliyopo wilayani Serengeti mkoani Mara, ambapo amesema kuwa, wapo baadhi ya wananchi wamekuwa na tabia ya kujihusisha na wizi wa Ng’ombe pamoja na kufanya matukio ya uvamizi katika migodi ya madini na makazi ya watu.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini ,IGP Simon Sirro amesema hali ya usalama nchini imeendelea kuwa imara kwani hadi sasa hakuna matukio makubwa ya uhalifu na wahalifu yaliyoripotiwa na kwamba amewahakikishia wafanyabiashara na wawekezaji mbalimbali kuendelea na mikakati yao ya uwekezaji kwa lengo la kuleta maendeleo. IGP Sirro amesema leo Julai 10 ,2022 jijini Dar es salaam alipotembelea maonesho ya 46 ya kimataifa ya biashara (Saba saba )na kutoa angalizo kwa watu wenye nia ovu ya kutaka kuvuruga amani na kwamba Jeshi la Polisi alitosita kuwachukulia hatua za kisheria
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka askari Polisi kuhakikisha wanachukua hatua madhubuti za kudhibiti uhalifu na wahalifu hasa kwenye maeneo yao ya utendaji wa kazi hatua ambayo itasaidia Jeshi hilo katika kudhibiti vitendo hivyo. IGP Sirro amesema hayo wakati alipofanya ziara katika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro, ambapo amesema kuwa, kamwe hato furahia kuona askari Polisi akishindwa kudhibiti uhalifu na wahalifu na kuwafanya Watanzania wasiishi kwa amani na utulivu.
Subscribe hapa : 🤍 Tufuate Kwenye Twitter : 🤍 Like Ukurasa wetu wa Facebook : 🤍